Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Napata harafu ya ushawishi usio na ukweli wk 3 45m..?
Siku moja million 100 inawezekana tu! Mambo haya yalianzia Ulaya huku yamekuja leo, inawezekana kabisa! Kuna watu wanaishi hapa Dar kwa kubeti nikikutajia huwezi amini!
 
uploadfromtaptalk1460839122257.jpg
 
Janja zako za kupigia debe kampuni za kubet peleka vijiwe vya kahawa humu watu wanajishughurisha,
Nina ofisi za kubetisha najionea vijana wanavyo pigika
acha uongo wewe huwezi miliki ofisi za kubetisha.
 
Dah vijana washahalibika wanakwambia uki bet unalala masikini uki amka tajiri hila kumla huyo muhindi ngumu sana bet sio kazi fanyeni kazi halali
 
Kama Ukibet unakula kawabetie baba,Mama,Kaka,dada na ndugu zako wote ili uendelee kunufaisha familia yako kwanza...Sisi Wengine tuache na kazi zetu za kawaida mkuu!
 
Huku kutafuta maisha kwa kubahatisha kama hivi ndio maana vijana wengi wanazeekea kwenye nyumba za wazazi wao kwanini usifanye kazi tu ukajipatia maisha yako mazuri kuliko kufanya hii kitu ya kubahatisha matokeo yake wazazi wakiondoka mnabakia kugombea urithi unadhani mzazi wako angekuwa na yeye na maisha ya kubahatisha mngekuwa hapo mlipo?
 
Hizi ndio kazi wanazozipenda vijana wa Kitanzania,ikifikia asilimia kubwa ya vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa wanaishi kwa kutegemea kamali ni hatari sana,na nirahisi taifa kuendelea kuwa maskini,kamali ni addiction kama zilivyo addiction nyingine kama madawa ya kulevya n.k,ukishazoea its very hard to stop it....,pesa yako yote utaipeleka huko,kwa matarajio utapata kama juzi na jana,mleta mada anajifariji kisaikolojia kuwa yeye ni mjanja wa kubet..ila baada ya mwezi mmoja itakua historia iyo Mil 7 aliyopata,vinginevyo ashituke mapema aende kuwekeza hiyo pesa!,huwezi kuwa na financial security kwa kutegemea kamali..
 
Jamani nina ipad mbili za apple Toledo jipya nauza moja tuwasiliane 0762405614
hahaha! mkuu naona umetumia fursa kutangaza na biashara kwenye hii post ya matajiri wa kubet😀😀
 
Ndugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa wahindi na wazungu Mimi nimeanza kubet nina wiki ya tatu ninaona hiii biashara inalipa kwa sababu sijapoteza zaidi ya kuongeza Nawasihi sana ambae mtu anawasiwasi na team anipm ntamshauri kuwa timu hiyo itashinda au la kuliko kukaa anacheza puli .Hela zipo vijana achani Kuala.


Nasema tena mwenye uhitaji wa ushauri juuu ya team ambayo itashinda ani pm ntamsaidia tena bureeeee Mimi kila siku kwa taarifa yenu nawala meridian mpaka niliona watanijua Leo nabet Fire ,kesho Tabata,Magomeni nk na sehem zote napiga milioni mbili na zaidi nimeshindwa kuficha siri hiiii.


Karibuni wana JF wenzangu msife njaaa kaka yenu wakuwashauri nipo.



Aksanteeee cheers to bet.
Mkuu, Hongera sana aisee....Mi naomba unitengenezee Mkeka wa Timu za Leo....Timu Tano za Uhakika.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA UTAYARI WAKO WA KUSAIDIA VIJANA WENZIO.
 
Back
Top Bottom