Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku moja million 100 inawezekana tu! Mambo haya yalianzia Ulaya huku yamekuja leo, inawezekana kabisa! Kuna watu wanaishi hapa Dar kwa kubeti nikikutajia huwezi amini!Napata harafu ya ushawishi usio na ukweli wk 3 45m..?
Janja zako za kupigia debe kampuni za kubet peleka vijiwe vya kahawa humu watu wanajishughurisha,Wewe ni Thomaso
acha uongo wewe huwezi miliki ofisi za kubetisha.Janja zako za kupigia debe kampuni za kubet peleka vijiwe vya kahawa humu watu wanajishughurisha,
Nina ofisi za kubetisha najionea vijana wanavyo pigika
Wenae ni boya wao wanakupa mashine ww unafungua ofisi sehemu uitakayo nikupigie picha nipo na mashine nne hapa.acha uongo wewe huwezi miliki ofisi za kubetisha.
Mchane mama Mchaneee...Nakalia ya baba yako sio wewe unayependa mdebwedo. Baba yako si analima kwa nguvu zake?. Weww nwenzangu siku nyingine utaombwa na wewe kwa kupenda kitonga.
Ebu nipe taratibu zikoje, sijawahi beti nataka siku moja nijaribu. Nanunua tiketi au nafanyaje? Na tiketi yenyewe ikoje?Watu kibao wametajirika mm naishi mjini kwa kubet tu sina kazi nyingine
Betting hii hii niijuayo au kuna nyingine?
Kama ni hii ninayoijua unawashika watu kamba
hahaha! mkuu naona umetumia fursa kutangaza na biashara kwenye hii post ya matajiri wa kubet😀😀Jamani nina ipad mbili za apple Toledo jipya nauza moja tuwasiliane 0762405614
msijaliPoa wakuuu ntawawekwa msijari
Ni binadamu au mbuzi na kuku ndo wanaotajirika?inawezekana nyie wadau mnaobisha acheni msiyoyajua sisi tuna bet daily na ushahid upo watj wanakula pesa bana
Mkuu, Hongera sana aisee....Mi naomba unitengenezee Mkeka wa Timu za Leo....Timu Tano za Uhakika.Ndugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa wahindi na wazungu Mimi nimeanza kubet nina wiki ya tatu ninaona hiii biashara inalipa kwa sababu sijapoteza zaidi ya kuongeza Nawasihi sana ambae mtu anawasiwasi na team anipm ntamshauri kuwa timu hiyo itashinda au la kuliko kukaa anacheza puli .Hela zipo vijana achani Kuala.
Nasema tena mwenye uhitaji wa ushauri juuu ya team ambayo itashinda ani pm ntamsaidia tena bureeeee Mimi kila siku kwa taarifa yenu nawala meridian mpaka niliona watanijua Leo nabet Fire ,kesho Tabata,Magomeni nk na sehem zote napiga milioni mbili na zaidi nimeshindwa kuficha siri hiiii.
Karibuni wana JF wenzangu msife njaaa kaka yenu wakuwashauri nipo.
Aksanteeee cheers to bet.