Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

w
Ndugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa wahindi na wazungu Mimi nimeanza kubet nina wiki ya tatu ninaona hiii biashara inalipa kwa sababu sijapoteza zaidi ya kuongeza Nawasihi sana ambae mtu anawasiwasi na team anipm ntamshauri kuwa timu hiyo itashinda au la kuliko kukaa anacheza puli .Hela zipo vijana achani Kuala.

Nasema tena mwenye uhitaji wa ushauri juuu ya team ambayo itashinda ani pm ntamsaidia tena bureeeee Mimi kila siku kwa taarifa yenu nawala meridian mpaka niliona watanijua Leo nabet Fire ,kesho Tabata,Magomeni nk na sehem zote napiga milioni mbili na zaidi nimeshindwa kuficha siri hiiii.

Karibuni wana JF wenzangu msife njaaa kaka yenu wakuwashauri nipo.

Aksanteeee cheers to bet.
eka huo mkeka hapa ..tuuone
 
Kaka usihangaike kutafuta pesa bet mimi napiga hela sana masela you can immagine nimeanza kubet three weeks ago but up to now nina Tsh million 45 nilianza kwa mtaji wa buku tano
Naku pm. Kila mkeka utakao kuwa una bet wewe, utanitumia ili nicopy. Ama vipi mkuu
 
Maskini kuna watu wanapenda mdebwedo ehh. Kazi ipo. Fanya kazi kijana achana na kudanganya wenzio. Inawezekana hata huna ulichopata.
 
Maskini kuna watu wanapenda mdebwedo ehh. Kazi ipo. Fanya kazi kijana achana na kudanganya wenzio. Inawezekana hata huna ulichopata.
Wewe ni Mwanamke mtu wa kuhongwa sitaki kuongea na ww
 
Hivi mtoa mada kupata millioni 7 ndo unajiona umetoka kimaisha???? kweliiiiiii????
 
Kaka usihangaike kutafuta pesa bet mimi napiga hela sana masela you can immagine nimeanza kubet three weeks ago but up to now nina Tsh million 45 nilianza kwa mtaji wa buku tano
Hapa nndo ulipoharibu!
 
Jamani nina ipad mbili za apple Toledo jipya nauza moja tuwasiliane 0762405614
 
Kumbe unapenda kuukalia eeeeeee ni pm nikupe mambo cute B
Nakalia ya baba yako sio wewe unayependa mdebwedo. Baba yako si analima kwa nguvu zake?. Weww nwenzangu siku nyingine utaombwa na wewe kwa kupenda kitonga.
 
Inawezekana huyu mleta post ametumwa na wahindi? kweli mjini shule!
 
Back
Top Bottom