jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
mkuu usipate shida sana, Watz tu-wavivu sana na tunapenda vitu "KITONGA" acha hao jamaa watupige mpaka akili itakapokuja kukaa sawa.Nimekuwa nikifuatilia mchezo huu.ila cha ajabu kwanini uwa hawazungushi hizo mashine zao live?.wanaonyesha heti wanampigia mshindi wakati wanakuwa wameishacheza.Kweli wa Tanzania twaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app