Mchezo wa Biko

Mchezo wa Biko

jambo Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
377
Reaction score
281
Nimekuwa nikifuatilia mchezo huu.ila cha ajabu kwanini uwa hawazungushi hizo mashine zao live?.wanaonyesha heti wanampigia mshindi wakati wanakuwa wameishacheza.Kweli wa Tanzania twaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhh a hahaha nimetoka kuangalia hapa nikajiuliza hivyo hivyo ahh ahh
 
Jamaa kama wanapanga vile na ukifuatiria vizuri wanaoshinda asilimia kubwa wenye namba za voda tigo airtel na mitandao mingine wachache sanaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikifuatilia mchezo huu.ila cha ajabu kwanini uwa hawazungushi hizo mashine zao live?.wanaonyesha heti wanampigia mshindi wakati wanakuwa wameishacheza.Kweli wa Tanzania twaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usipate shida sana, Watz tu-wavivu sana na tunapenda vitu "KITONGA" acha hao jamaa watupige mpaka akili itakapokuja kukaa sawa.
kuthibitisha hilo watazame viongozi wetu kwanza wale wa SERIKALI NA wasio wa SERIKALI.
 
Back
Top Bottom