Mchezo wa draft na sheria zake

Mchezo wa draft na sheria zake

umetumia kuwa king ivishwe ila sioni uwezekano wa mtu kufika kingi/king bila kula kete yako
 
Tena Force King ndio haiwezekani,
Maana lazima umpe yeye ale kete yako ili umvute kwenye 18 zako ndio umkule mpaka King.

Hivi ki ualisia tu kila mtu ana kete zake 12 zilizokaa upande wake, mtapishana pishana vipi mpaka ufike King bila kulana aisee? Labda nikuulize swali, unasema inawezekana wewe kutoliwa mpaka ukafika king, je na yeye atakua pia hajaliwa?
achana nao hao...si ajabu wanadhani draft ni bao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwezekano wa wewe kufika King huku ukiwa na kete zako zote 12 full ni mdogo mno, labda uwe unacheza na mbumbumbu,
Kuna sehemu lazima umpe ale (umtege) ili akijaa mbele yako ndio uingie King.

Lakini kama theory tu na sio uhalisia basi kama mnatumia visoda itabidi tu ugeuze kisoda chako kilichoingia King ili kitofautiane na kingine
Sio uwezekano ni mdogo, bali haupo kabisa.
 
kwenye draft huwezi kufika king km hamjalana hata kete mmoja ...hamna kitu kama icho...ingawa kuna mchezo wa kubanana ambao unaweza kumpiga mtu super bila kulana hata kete moja...nimesema mimi fundi wa draft ..
Uko sahihi kwa 100% Huwezi kuingia kingi bila kete yako kuliwa. Impossible...!!
 
Babuuuuuuuuuu,
Kuingia King bila kuliwa huwezi,
Je Kuingizwa king bila kuliwa?
Hahahha... natamani niwe nimekuelewa kama nilivyokuelewa...

Maana nyie mna maneno ya mafumbo, napaswa kuwa makini
 
e itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?
Hiki kitu katika draft hakiwezekani bro, huwezi fika kingi bila Mpinzani wako kula kete hata Moja
 
Tena Force King ndio haiwezekani,
Maana lazima umpe yeye ale kete yako ili umvute kwenye 18 zako ndio umkule mpaka King.

Hivi ki ualisia tu kila mtu ana kete zake 12 zilizokaa upande wake, mtapishana pishana vipi mpaka ufike King bila kulana aisee? Labda nikuulize swali, unasema inawezekana wewe kutoliwa mpaka ukafika king, je na yeye atakua pia hajaliwa?
Mi navyojua hii inatokeaga pale mnapoxheza game ya kubanana na kwa game ya uchoyo yaani kunyimana kula.. so inafika mahali kete zako zote za moto kila unayompa anakupiga hadi king hapo ndo game inapoisha coz unakuwa huna ya kumvesha.. japo hutokea mara chache sana
 
Sio uwezekano ni mdogo, bali haupo kabisa.
Mkuu vipi unaniangisha fundi, uwezekano upo.. si ile unamuingiza kingi ili baadae uiue king yake, so vile ameingia king tayari wew unakuwa huna kete ya kumvesha ndo unakuwa ushapigwa hivyo
 
Back
Top Bottom