Mchezo wa draft na sheria zake

umetumia kuwa king ivishwe ila sioni uwezekano wa mtu kufika kingi/king bila kula kete yako
 
achana nao hao...si ajabu wanadhani draft ni bao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio uwezekano ni mdogo, bali haupo kabisa.
 
kwenye draft huwezi kufika king km hamjalana hata kete mmoja ...hamna kitu kama icho...ingawa kuna mchezo wa kubanana ambao unaweza kumpiga mtu super bila kulana hata kete moja...nimesema mimi fundi wa draft ..
Uko sahihi kwa 100% Huwezi kuingia kingi bila kete yako kuliwa. Impossible...!!
 
Babuuuuuuuuuu,
Kuingia King bila kuliwa huwezi,
Je Kuingizwa king bila kuliwa?
Hahahha... natamani niwe nimekuelewa kama nilivyokuelewa...

Maana nyie mna maneno ya mafumbo, napaswa kuwa makini
 
e itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata moja ya kukuvalisha hiyo king nawakati huo unataka kuitumia hiyo king?
Hiki kitu katika draft hakiwezekani bro, huwezi fika kingi bila Mpinzani wako kula kete hata Moja
 
Mi navyojua hii inatokeaga pale mnapoxheza game ya kubanana na kwa game ya uchoyo yaani kunyimana kula.. so inafika mahali kete zako zote za moto kila unayompa anakupiga hadi king hapo ndo game inapoisha coz unakuwa huna ya kumvesha.. japo hutokea mara chache sana
 
Sio uwezekano ni mdogo, bali haupo kabisa.
Mkuu vipi unaniangisha fundi, uwezekano upo.. si ile unamuingiza kingi ili baadae uiue king yake, so vile ameingia king tayari wew unakuwa huna kete ya kumvesha ndo unakuwa ushapigwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…