nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
we bwege kwani unapompga mtu force ina maana wewe huli ila mwenzako anakula anaingia kingi sasa akishaingia kingi ndo anakwambia umvishe kingi yake kwanza ndo acheze kipindi hiko wewe huna kete ya kumvisha sijui kama umeelewa kibonde,kama upo dar watafute mangwelele,nduli, ronaldo juma mchafu na mafundi wengine wakwambie kama upo mr mtafute r-dini,dickson gumbo au nenda juwata ukaone mafundiKama ni force kingi lazima mpinzani ale kete ili aweze kuingia kingi na wewe uiue kingi yake
Sijui inawezekanaje kufika kingi bila mwezio kula hata kete moja na hata ikitokea hakuna hana ya kuvisha kingi mpaka hapo game litakuwa limeisha
Hii ni kwa wale wajubaaa tyuu kwa matutusa hamuwezi kuelewa