Mchezo wa draft na sheria zake

we bwege kwani unapompga mtu force ina maana wewe huli ila mwenzako anakula anaingia kingi sasa akishaingia kingi ndo anakwambia umvishe kingi yake kwanza ndo acheze kipindi hiko wewe huna kete ya kumvisha sijui kama umeelewa kibonde,kama upo dar watafute mangwelele,nduli, ronaldo juma mchafu na mafundi wengine wakwambie kama upo mr mtafute r-dini,dickson gumbo au nenda juwata ukaone mafundi
 
wewe jamaa jembe sana sema kuna vibonde wengi sana humu hawajawah kutana na hio issue mi nlipiga mtu force jamaa akagoma kucheza mpk avishwe kingi yake game iliisha hapohapo, watoto wa juzi haya mambo hawayajui kabisa
 
Duu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Basi utakuwa hufahamu vema mchezo huo. Ukipiga force king, Kuna Chance kubwa sana ya kukosa kuvalisha
 
Brother nilitaka nimtolee mfano huo huo. Anakupa kete tatu halafu anataka kukupiga force ili aue king unatakiwa umwambie nivishe hana ya kukuvisha ni goli. Ushashinda. Hii kitu nilipewa na Nduli, dogo janja, Sir bedui, Noeli, John Kipaji na Mangulele. R.I P Mangulele bingwa wa draft. Sema alikuja kupinduliwa na vijana akina NDULI na NOEL
 
Duu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Kama hamjui. Lakini kama mnajua kuna copy moja ikichezwa mtu anatamani akupige force king. Basi akikupiga tu unamwambia nivishe. Hana ya kukuvisha basi goli umemfunga
 
Anakupa unakula zake 3 halafu unaingia king. Halo sasa unamwambia akuvishe. Hana basi ushashinda
 
hahahaa noeli,bedui,nduli hao watu hatali sana aisee kumbe mangulele alishavuta? dg janja simkubali sana nliwahi kupiga mpk akatoka nduki ila nduli daah yule naye ni shetan
 
Sheria ya 3:1 Kings

1. Mwenye kete tatu akiingia king ya pili anavalishwa zote. Kisha mwenye King 1 anaanza kuhesabu.

2.Hapa mwenye king moja akifika 12 basi ni Draw! Mwenye King 3 hanyanyui kete tena.
 
Unajua draft inaishaje kweli mkuu au hulijui???? Draft haliishi kwa wewe kushindwa kumvalisha King mpinzani wako bali mpaka pale amabapo either kete zako zote zimeliwa au zipo sehemu ambayo haziwezi kucheza la sivyo ukicheza tu zinaliwa
 
Unajua draft inaishaje kweli mkuu au hulijui???? Draft haliishi kwa wewe kushindwa kumvalisha King mpinzani wako bali mpaka pale amabapo either kete zako zote zimeliwa au zipo sehemu ambayo haziwezi kucheza la sivyo ukicheza tu zinaliwa
Mkuu we bado mwanafunz, hili suala limekuzid kdg kiwango.. nenda kwenye vilinge vikubwa vya wacheza draft utalikuta hilo
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Draft hilo hapo... Ukicheza move ya pili ili nikukule... kete yangu lazima ikakae sehemu ambayo lazima utakula yangu...
Yes,

Hata mtt mdogo hapo akiangalia hawezi kubisha....lazima mkulane ndio mmoja aingie king, hizo za mwanzoni na mwishoni zinatokaje bila kulana.

Its a simple logic tu
 
nna miaka zaidi ya 20 nacheza huu mchezo na sijawai kukutana na scenario ya hivyo asee
basi hujawah cheza kwe kiwango cha juu brother,wanaopiga mbao kisawasawa kwa miaka yote lazima ukutane na hio situation ingawa ni maea chache sana mi nmeanza kucheza 2004 lkn nmekutana nayo mara mbili tu,ya kwanza nlifungwa ya pili na mm nkamfunga jamaa nlimkomalia avalishe kingi yangu akabaki katoa macho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…