Multdealer
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 226
- 232
Mi nataka kujua nitapata wapi vifaa vyake kale ka fimbo na kampira nataka kutumia kwa shughuli zangu
Game supermarket kwenye section ya vifaa vya michezo utapataMi nataka kujua nitapata wapi vifaa vyake kale ka fimbo na kampira nataka kutumia kwa shughuli zangu
Kwa mara ya kwanza nakuona unaandika ujinga, na kukosoa kitu usichokijuaAhsante kwa taarifa...
Golf mwezini unachezaje wakati hakuna gravity... Za kuambiwa changanya na za kwako...
Cc: mahondaw
Kwa mara ya kwanza nakuona unaandika ujinga, na kukosoa kitu usichokijua
Mtoa mada alichosema ni kweli.. Nilishaona kwenye BBC
Asante nitaenda nadhani ni mlimani city au kuna sehemu nyingine naweza kuwakuta hawa game?na je unaweza kuwaza gharama zake?Game supermarket kwenye section ya vifaa vya michezo utapata
Shughuli gani mkuu?
usije ukafanya mkongojo!
Nani alikuambia kwenye mwezi hamna gravity? Au unakisia?Za kuambiwa changanya na za wako... hakuna kitu kama hicho...
Kwani BBC ndiyo nani... mbona walitushupalia Tanzania kuna Ebola wakati siyo kweli...
Cc: mahondaw
Nani alikuambia kwenye mwezi hamna gravity? Au unakisia?
The acceleration due to gravity on the surface of the Moon is about 1.625 m/s2, about 16.6% that on Earth's surface or 0.166 ɡ.[1] Over the entire surface, the variation in gravitational acceleration is about 0.0253 m/s2 (1.6% of the acceleration due to gravity). Because weight is directly dependent upon gravitational acceleration, things on the Moon will weigh only 16.6% (≈ 1/6) of what they weigh on the Earth.
View attachment 1238221