Mchezo wa gofu

Mchezo wa gofu

Multdealer

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
226
Reaction score
232
[emoji1621] Tarehe 06/2/ 1971,Ndugu Alan Shepard alifanikiwa kufika mwezini. Na miongoni mwa shughuli alizo jishughulisha nazo ni kucheza gofu.

[emoji1621] Hivyo basi akaupa mchezo wa gofu historia ya pekee, kuwa ndio mchezo pekee kuchezwa mwezini.
images(39).jpeg
 
Mi nataka kujua nitapata wapi vifaa vyake kale ka fimbo na kampira nataka kutumia kwa shughuli zangu
 
Ahsante kwa taarifa...

Golf mwezini unachezaje wakati hakuna gravity... Za kuambiwa changanya na za kwako...

Cc: mahondaw
 
Kwa mara ya kwanza nakuona unaandika ujinga, na kukosoa kitu usichokijua

Mtoa mada alichosema ni kweli.. Nilishaona kwenye BBC

Za kuambiwa changanya na za wako... hakuna kitu kama hicho...

Kwani BBC ndiyo nani... mbona walitushupalia Tanzania kuna Ebola wakati siyo kweli...

Cc: mahondaw
 
Za kuambiwa changanya na za wako... hakuna kitu kama hicho...

Kwani BBC ndiyo nani... mbona walitushupalia Tanzania kuna Ebola wakati siyo kweli...

Cc: mahondaw
Nani alikuambia kwenye mwezi hamna gravity? Au unakisia?

The acceleration due to gravity on the surface of the Moon is about 1.625 m/s2, about 16.6% that on Earth's surface or 0.166 ɡ.[1] Over the entire surface, the variation in gravitational acceleration is about 0.0253 m/s2 (1.6% of the acceleration due to gravity). Because weight is directly dependent upon gravitational acceleration, things on the Moon will weigh only 16.6% (≈ 1/6) of what they weigh on the Earth.

Screenshot_20191019-145248.jpeg
 
View attachment 1238221

Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Za kuambiwa changanya na za kwako... Ulicholeta hapa, huwezi kucheza golf mwezini...

Cc: mahondaw
 
Nawaona mnataka kurudishana shule

mkimaliza hizo homework mlete nisahishe

nipo ofisini
 
Back
Top Bottom