MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
πππππππππJina na uchezwaji wake ni kama mchezo wa ukabaji.
mbona umejibu kwa kupanic? mimi nimeuliza kwa lengo la kueleweshwa kuhusu huu mchezoYaani Watanzania maboga kweli huu ni mchezo wa nguvu za mwilini..... eti hata Wahindi wanatushinda.
Tunatakiwa kuuondoa Mwenge ndio unaosababisha tusiwike kokote.
Sio Hasheem Thabiti sio Samatta wala yoyote atawika kama uchawi wa Forojo Ganze hautakomeshwa.
Pia tumuondoe twiga kwenye alama ya Taifa na tuweke mnyama aggressive
Nimpanikia nani? Sijajibu swali lako Ila nimetoa maoni yangumbona umejibu kwa kupanic? mimi nimeuliza kwa lengo la kueleweshwa kuhusu huu mchezo
mbona maoni yako hayaendani na post yangu? basi ungefungua thread yako ili upost hayo maoni. ni ushauri tuNimpanikia nani? Sijajibu swali lako Ila nimetoa maoni yangu
NI KAMA MCHEZO WA KIDALI POOOO.......!wanajf nawasalimu
naombeni kujuzwa. huu ni mchezo wa aina gani na unachezwaje? naombeni kwa anayeujua anijuze
ππππππ huo ni mchezo gan?NI KAMA MCHEZO WA KIDALI POOOO.......!