Mchezo wa kabaddi

Mchezo wa kabaddi

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
327
Reaction score
205
wanajf nawasalimu

Naombeni kujuzwa. huu ni mchezo wa aina gani na unachezwaje? naombeni kwa anayeujua anijuze
 
Yaani Watanzania maboga kweli huu ni mchezo wa nguvu za mwilini..... eti hata Wahindi wanatushinda.
Tunatakiwa kuuondoa Mwenge ndio unaosababisha tusiwike kokote.
Sio Hasheem Thabiti sio Samatta wala yoyote atawika kama uchawi wa Forojo Ganze hautakomeshwa.
Pia tumuondoe twiga kwenye alama ya Taifa na tuweke mnyama aggressive
 
mbona umejibu kwa kupanic? mimi nimeuliza kwa lengo la kueleweshwa kuhusu huu mchezo
 
Back
Top Bottom