Mchezo wa kamali kolokol

Mchezo wa kamali kolokol

PAKASHUME JOHN

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
303
Reaction score
329
Habari za jioni hii wadau,mie ni mchizi Fulani nimekulia magomeni makuti na mwananyamala ila kwa sasa nipo naishi kikazi mkoani Kilimanjaro,
Enzi za udogo wangu kipindi cha sikukuu tulikua tunakwenda kucheza michezo mbalimbali kwenye viwanja vya umma ikiwemo bembea ila nilikuwa napenda kolokolo(dice) ila dhamira yangu kuu unataka nianzishe huo mchezo huku nilipo isipokuwa naomba kujuzwa kama mdau anajua kuwa naweza kupata wapi zile kete(DICES) kwa hapa Moshi au Arusha au hata Dar

Natumaini wazoefu mmenielewa
 
Back
Top Bottom