Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,834 Nov 15, 2017 #1 Habarini wana jamvi? Naomba kujuzwa machache juu ya mchezo wa karata. 1. Ulianza lini na ni nani mwanzilishi/waanzilishi wake? 2. Nini maana ya ile michoro iliyo kwenye karata? Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu.
Habarini wana jamvi? Naomba kujuzwa machache juu ya mchezo wa karata. 1. Ulianza lini na ni nani mwanzilishi/waanzilishi wake? 2. Nini maana ya ile michoro iliyo kwenye karata? Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu.