Mchezo wa kumjua rafiki mnae fanana herufi za majina yenu ya mwanzo

Mkuu kamatia fursa hapo usiachie

Si kasema kuna mchezo anatuchezesha.... Sasa mbona bado hajafanya hivyo?

Nachoka kusubiri aiseee... Tangu jana nimevaa zangu sport wear mpaka leo sijavua nasubiri kuchezeshwaa.. Khaaaaaa!!!
 
Hahaaa daah anazingua huyo ila mm ndio sijapata wa kuchezeshwa nae
 
Si kasema kuna mchezo anatuchezesha.... Sasa mbona bado hajafanya hivyo?

Nachoka kusubiri aiseee... Tangu jana nimevaa zangu sport wear mpaka leo sijavua nasubiri kuchezeshwaa.. Khaaaaaa!!!
Umekabidhiwa jezi na mchezo hujaelewa [HASHTAG]#darasa[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom