Le MadameLe Mtuzi
Le Jingaz
Wenzako hao mkuu
Pamoja
Aisee?.....CHARMILTON na charminglady haya tuchezeshe....
Mkuu kamatia fursa hapo usiachieAisee?.....
Mkuu kamatia fursa hapo usiachie
Hahaaa daah anazingua huyo ila mm ndio sijapata wa kuchezeshwa naeSi kasema kuna mchezo anatuchezesha.... Sasa mbona bado hajafanya hivyo?
Nachoka kusubiri aiseee... Tangu jana nimevaa zangu sport wear mpaka leo sijavua nasubiri kuchezeshwaa.. Khaaaaaa!!!
Umekabidhiwa jezi na mchezo hujaelewa [HASHTAG]#darasa[/HASHTAG]Si kasema kuna mchezo anatuchezesha.... Sasa mbona bado hajafanya hivyo?
Nachoka kusubiri aiseee... Tangu jana nimevaa zangu sport wear mpaka leo sijavua nasubiri kuchezeshwaa.. Khaaaaaa!!!
Pamokoo