Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Kama huna kazi ya kufanya ni wewe ndugu, wengine huwa tunafanya huu wewe ambao unaona ni upuuzi kwa ajili ya kujipumzisha baada ya kutoka kibaruani kwa ajili ya ku-refresh mind na kuburudika pia[emoji848][emoji848][emoji848]Tuache utani jamani, wabongo hatuna kazi za kufanya.