Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku.
Anapambanishwa na mabondia waliochoka, wazee na wasio na uwezo tena na boxing. Ni kwamba mapromota wakishaona hawana kitu wanamtafutia Mandonga fight ili wapate hela. Mapambano ya Mandonga mengi ni ya kipuuzi tu, hayana mpango wowote na maendeleo ya Ngumi zaidi ya kumtumia kupiga hela.
Itatuchukua miaka mingi ijayo kuwampata bondia kama Mwakinyo atuwakilishe. Mandonga anatumika kibiashara tu, ndio maana anapambanishwa na mabondia wa hovyo hovyo tu. Ngumi zetu ni za Kimchongo.