carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Simba na 15 de Agosto ambao ni mchezo wa marudiano utakaochezwa katika uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili kutatumika mfumo mpya wa uuzwaji tiketi.
Akizungumza kuhusu mfumo huo Abdulrashid Hamza Rashid, Mkurugenzi wa Kampuni ya 121 Consultancy Limited, ametangaza mfumo huo mpya wa tiketi utakaotumika katika mchezo wa Simba dhidi ya 15 De Agosto ameeleza kuwa ni mfumo rafiki sana kwa mashabiki na wataupenda
Chanzo : Jambo tv