Mchezo wa simba dhidi ya 15 De Agosto kutumia mfumo mpya wa tiketi

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Simba na 15 de Agosto ambao ni mchezo wa marudiano utakaochezwa katika uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili kutatumika mfumo mpya wa uuzwaji tiketi.

Akizungumza kuhusu mfumo huo Abdulrashid Hamza Rashid, Mkurugenzi wa Kampuni ya 121 Consultancy Limited, ametangaza mfumo huo mpya wa tiketi utakaotumika katika mchezo wa Simba dhidi ya 15 De Agosto ameeleza kuwa ni mfumo rafiki sana kwa mashabiki na wataupenda
Chanzo : Jambo tv

Your browser is not able to display this video.
 
Nimeuchek huo mfumo. Wanadhibiti vipi mtu kuingia na tiketi halafu atamtumia wa nje akaingia nayo pia? Hii weakness huwa naiona pia Magufuli, kuonyesha tiketi kwenye simu bila scanning ya kuchukua taarifa kwamba umeingia, kunaruhusu mtu wa nje kutumiwa ile tiketi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…