BJEVI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 1,359 Reaction score 251 Apr 6, 2012 #21 hiyo ndo simba bwana.............................we acha tu........
Mhindih JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 331 Reaction score 68 Apr 6, 2012 #22 Tusker Bariiiidi said: Wakome oooh Mvua ikinyesha twashinda... Click to expand... sio kosa lako.
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 183 Apr 6, 2012 #23 Kudadadeeek Simba! Sijui nilieeeee !!! Wazee wa kuzomea mupooo?! Mtazomea sana mwaka huu,huku viroho vinawauma.
Kudadadeeek Simba! Sijui nilieeeee !!! Wazee wa kuzomea mupooo?! Mtazomea sana mwaka huu,huku viroho vinawauma.
Mhindih JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 331 Reaction score 68 Apr 6, 2012 #24 DAWA YA SIKIO said: Kudadadeeek Simba! Sijui nilieeeee !!! Wazee wa kuzomea mupooo?! Mtazomea sana mwaka huu,huku viroho vinawauma. Click to expand... Sio kuzomea tu . Watajaza sanduku/kabati kwa kununua jezi za timu pinzani kwenye mashndano haya.
DAWA YA SIKIO said: Kudadadeeek Simba! Sijui nilieeeee !!! Wazee wa kuzomea mupooo?! Mtazomea sana mwaka huu,huku viroho vinawauma. Click to expand... Sio kuzomea tu . Watajaza sanduku/kabati kwa kununua jezi za timu pinzani kwenye mashndano haya.
A Archmedes Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Apr 6, 2012 #25 We Mungu saidia.Kwani mpira umekwisha wazee?
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Apr 7, 2012 #26 Aliimba banza stone miaka ile Aungurumapo Simba mcheza nani????????????????????????????????????????????????????????????? Hongereni sana Simba wawakilishi pekee wa Tanzania kazi nzuri we are proud of you guys,Much respect to Emanuel Okwi
Aliimba banza stone miaka ile Aungurumapo Simba mcheza nani????????????????????????????????????????????????????????????? Hongereni sana Simba wawakilishi pekee wa Tanzania kazi nzuri we are proud of you guys,Much respect to Emanuel Okwi