Ndugu zangu Wadau wa soka nchini Tanzania na wapenzi wa timu yetu ya Taifa kwa namna mlivyouona mchezo ule kati yetu na Walethoto kuna uwezekano wa kusonga mbele?
Mimi Nina hofu ukizingatia mpaka sasa tuna points 5 na anayeongoza kundi ambaye ni jirani yetu Uganda anapointi 13.
Kama kuna wabobevu wa masuala ya soka naomba ufafanuzi hapa.