mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Mkuu Isanga family wewe ulitakaje!! Mchezeji wa Yanga akichezewa rafu yeye ndio apewe Kadi!!!! Tuache ushabiki wa kihivyo, Kinachowasumbua mabeki wa timu nyingine ni kuja uwanjani kwa kukamia baadhi ya wachezaji kama vile Ngoma.yanga tunabebwa mbona tunashindwa kupata goli kwa waarabu miaka yoote kama sasa ivi walikuja wabovu...kama barc mechi zao ngumu ili washinde inatakiwa red kadi timu pinzani..
Mkuu Kuna watu humu hawajui mpira so kukoment chochote ni kuharibiana siku.Mkuu Isanga family wewe ulitakaje!! Mchezeji wa Yanga akichezewa rafu yeye ndio apewe Kadi!!!! Tuache ushabiki wa kihivyo, Kinachowasumbua mabeki wa timu nyingine ni kuja uwanjani kwa kukamia baadhi ya wachezaji kama vile Ngoma.
Huu mchezo hautaki hasira.
Yanga 1 - Mtibwa 0 full timeJamani ngapi ngapi Taifa
Huko=ukoHuko sawa kabisa..yeboyebo watabebwa juu juu..