bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Je ....unakumbuka kama ulikuweko nyakati hizo...timu ya Mwadui ilipoondolewa uwanjani na kupelekwa airport moja kwa moja kwa amri ya Mzee Karume baada ya Mwadui kucheza rafu mbaya saana uwanjani Amani ....Prosper Mboya akiwa beki wa Mwadui.