Mkuu
Isanga family wewe ulitakaje!! Mchezeji wa Yanga akichezewa rafu yeye ndio apewe Kadi!!!! Tuache ushabiki wa kihivyo, Kinachowasumbua mabeki wa timu nyingine ni kuja uwanjani kwa kukamia baadhi ya wachezaji kama vile
Ngoma.
Huu mchezo hautaki hasira.