Mchicha na tangawizi mbichi ndio suluhisho pekee! Achana na viagra!!

Unaweza kuta alikuwa cafe ela ikakata au modem nayo imeisha ela.
Vuteni subira
 
hana lolote anabeep, alipotuma hiyo alipashwa aweke na jinsi ya kutengeneza. Unaweza kula ikalala bila kuamka pasitoshe humu ndani. watu wengine bwana wanatafuta attention
 
Mm naona huyu jamaa kachanganya mambo. Tangawizi in Ginger ..... Ikiwa alimaanisha hivyo basi ginger haina issue kwenye mambo haya sana.
Tena kwenye mchicha haviendi.Angezungumzia chai , kahawa etc ningemwelewa.

Issue mazee ni kitunguu saumu ....... Kinaitwa GARLIC . Hapa ndio mambo iliko.Sio lazima upike kwenye mchicha. Unatafuna vipingili vitano kwa siku tu. Tatizo ni harufu ,lakini kama unaweza kuvumilia harufu basi utajiponya na magonjwa mengine mengi tu. Gonga hapa.

Garlic or Viagra®?
 
Sikujua hili tatizo linawakabili watu wengi namna hii!!!!!!! Hakyanane binti muhamali:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:


asprino wachache waaminifu kama apo juu wengi waathrika wako kimya wanajitesekea angalia kijana anakula shavu mpaka anatamani hedhi..loh we kijana ukugusa hedhi laaana imeandikwa kabisa kwenye biblia sijui utamweleza bwa GOD ulikuwa mchicha nma tangawizi za ziada amaa lah......napenda wanaokuwa wazi kama kijana
 
Akirudi mwambieni kuwa nilimtusi. Hajui kuwasilisha mada pamoja na ilmu yake ya nje. Cha msingi mpende kula vyakula katika uhalisi wake. Mboga zipikwe kwa dk moja tu! Pumzikeni vya kutosha. Penda kuwa na asali hom na uitumie kadri uwezavyo. Kwenye chai, vitafunwa, maziwa, kulamba n.k mtakuwa na amani kama mimi
 
Saaasaa! kama unapiiga kila siku na mkeo anapokusa hedhi ni adhabu si bora ni baki na uwezo wangu hu wakupiga viwili vitatu kila siku na ambapo ikitoke mke wangu hayupo nikawezatu kuvumilia? manake sasa we unaadhabu kali kuliko hata ya jela!!

N jamani haya maviagra ya ninii, kwa kawaida unaweza kupiga tu hata vitano mpaka kunakucha, sasa we unataka upige na vya viagra!! si ndo mwanzo wa kukimbiwa na mkeo!! Ebo!!
 
Hii thread kweli imeniacha hoi sana. Kama alivyosema Aspirin hapo juu, watu wana matatizo sana. Ila kula chakula kizuri ni muhimu sana hayo mambo mengine ya mchicha sijui tangawizi mihogo mengine ni psychological tu. Watu wanakula vibaya na afya mbaya pia. Members wa ISC sijui ICS wanaishiwa kwa sababu nyumba ndogo zomewazidia (najua mtanitusi, hewalla tu). Kitambi hukooo, pombe, kuku za kisasa kibao, burger, nk nk...
Mtu umefika miaka 40 unajidhania ni kijana wa 25. Una mke na nyumba ndogo ya miaka 20 :nono::nono::nono: basi wanakupelekesha na ndiyo sababu magazeti hayaachi kutangaza dawa za nguvu za kiume.
Shauri yenu.
 
mi naitaka hiyo jamani japo mi uwa nagonga zaidi ya 3 per day so nataka niwe na uwezo zaidi ya hapo... Mana kuna kipindi kama miezi 8 ilopita ndo nligonga 6 per day...
Tena iyo nilikula pilau lenye vi2 vyoteee ndo nkawa na uwezo uo
 
mi naitaka hiyo jamani japo mi uwa nagonga zaidi ya 3 per day so nataka niwe na uwezo zaidi ya hapo... Mana kuna kipindi kama miezi 8 ilopita ndo nligonga 6 per day...
Tena iyo nilikula pilau lenye vi2 vyoteee ndo nkawa na uwezo uo


Husomi sread na wewe? Jamaa kachemsha. Soma post yangu hapo juu. Duh kila kitu utafuniwe loh
 

hayaweeeeeee..... Infidelitoz, need we say more?
 
eeeeeeeeeeee bana eeeeeeeeeeee,hiyo super sana na simple kupata.hebu watibu watu mjomba
 
nimitambua topic znazohusu sita kwa sita zinachangiwa sana... hii ina maana...
-ubunifu wa wengi ni chini hadi wanaamua kusaka nguvu za ziada..
-wagonjwa wa nguvu kiuno ni wengi
-Wanafamilia humu twapenda saaaaana kuchakachua/kuchakachuliwa
-na mengine kibao

NI MTAZAMO TU WANDUGU!!:smile-big:
 
Tatu za nguvu za kike au kiume ni janga sasa hivi. Jamani angalieni kuna recipe nyingine sumu! watch out.
 
Nuuh uuuh the blue pill still does the trick uncontestedly
 
kalunguine kaka unataka kutiwa busha na dk. manyuki maana alikuwa ana wazoa kama senene na taa! tangazo lake easy tu wanajileta wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…