Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua hili tatizo linawakabili watu wengi namna hii!!!!!!! Hakyanane binti muhamali:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
mi naitaka hiyo jamani japo mi uwa nagonga zaidi ya 3 per day so nataka niwe na uwezo zaidi ya hapo... Mana kuna kipindi kama miezi 8 ilopita ndo nligonga 6 per day...
Tena iyo nilikula pilau lenye vi2 vyoteee ndo nkawa na uwezo uo
mwaka jana nilikuwa turkey katika chuo kikuu cha istanbul university,profesa mmoja anaitwa majid shafy alinifundisha kupika mchicha kwa tangawizi,kuwa ni noma kuliko viagra,na ni lishe ya kuipata mara moja kwa mwaka,niliporudi bongo nikaanza kuifanya hii therapy,lol! NAJUTA kwani mpaka leo siwezi kukaa hata siku moja bila kusex na kila usiku mmoja lazima nipige goli tatu au nne ndio nipate usingizi!! sasa shughuli iliyoje mpenzi wangu akiwa katika hedhi huwa natamani kulia!
NA UZURI WA MBOGA au chakula hiki kinaweza kumfaa hata mwanamke aliyepoteza kabisa shauku na hata wasiopata hedhi,unataka kujua namna ya kuuandaa??