Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Mchimbaji mdogo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Wilayani Bukombe, Ndegesela, amelalamikia changamoto ya kukosa wanawake katika eneo hilo la uchimbaji madini, akieleza kuwa hali hiyo imekuwa ikimpa ugumu katika maisha yake akiwa mgodini.
Akizungumza mbele ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, wakati wa mazungumzo na wananchi na wachimbaji wa madini katika eneo la Msasa, Ndegesela amesema licha ya kukaa na kufanya shughuli za uchimbaji katika eneo hilo kwa takribani miezi mitano, bado anakabiliwa na changamoto hiyo.