Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
JichanganyeAisee.. kumbe serikali inaweza kutusaidia kila kitu eeh!
Hii ni kali. Usikute kuna usodoma .Aisee.. kumbe serikali inaweza kutusaidia kila kitu eeh!
usodoma ni nini? 🤔Hii ni kali. Usikute kuna usodoma .
Akapimwe akiliMchimbaji mdogo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Wilayani Bukombe, Ndegesela, amelalamikia changamoto ya kukosa wanawake katika eneo hilo la uchimbaji madini, akieleza kuwa hali hiyo imekuwa ikimpa ugumu katika maisha yake akiwa mgodini.
Akizungumza mbele ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, wakati wa mazungumzo na wananchi na wachimbaji wa madini katika eneo la Msasa, Ndegesela amesema licha ya kukaa na kufanya shughuli za uchimbaji katika eneo hilo kwa takribani miezi mitano, bado anakabiliwa na changamoto hiyo.
Mchimba madini AtukuzweMchimbaji mdogo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Wilayani Bukombe, Ndegesela, amelalamikia changamoto ya kukosa wanawake katika eneo hilo la uchimbaji madini, akieleza kuwa hali hiyo imekuwa ikimpa ugumu katika maisha yake akiwa mgodini.
Akizungumza mbele ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, wakati wa mazungumzo na wananchi na wachimbaji wa madini katika eneo la Msasa, Ndegesela amesema licha ya kukaa na kufanya shughuli za uchimbaji katika eneo hilo kwa takribani miezi mitano, bado anakabiliwa na changamoto hiyo.
Kwa hali hiyo akipata Dem atakuwa na muda kweli kukumbuka Kondomu kweli?...Mchimbaji mdogo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Wilayani Bukombe, Ndegesela, amelalamikia changamoto ya kukosa wanawake katika eneo hilo la uchimbaji madini, akieleza kuwa hali hiyo imekuwa ikimpa ugumu katika maisha yake akiwa mgodini.
Akizungumza mbele ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, wakati wa mazungumzo na wananchi na wachimbaji wa madini katika eneo la Msasa, Ndegesela amesema licha ya kukaa na kufanya shughuli za uchimbaji katika eneo hilo kwa takribani miezi mitano, bado anakabiliwa na changamoto hiyo.
Mkuu mkono umekomaa na magaga unapigaje nyeto.Si akapige nyeto tu maisha yasonge
Kama ungejua punyeto ni hatari kiroho na kimwil hizo athari msinge entertain nyeto ila ni vizuri kuacha kuwafungulia maana ili mkutane na ya kukutanaSi akapige nyeto tu maisha yasonge