Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Appolo wamepiga pesa sana pia kuna mawe madogodogo ndogo nzima ambayo kithamani yanazidi hizo kilo 9,serikali imechukua hayo makubwa tu
Kuna mwana yupo kule anasema kwenye huo mgodi kuna raia wamekula mil 200 wengine mil 70- mil 150 yaani waliokuwepo huko chini hakuna aliyetoka mtupu kila mmoja kapiga pande yake.
 
Kuna mwana yupo kule anasema kwenye huo mgodi kuna raia wamekula mil 200 wengine mil 70- mil 150 yaani waliokuwepo huko chini hakuna aliyetoka mtupu kila mmoja kapiga pande yake.
Kabisa mzigo umetoka kama wiki kadhaa watu wamepata na brokers wadogo nao wamepata shida bei iko chini sana zamani unapata gram 100 unapiga pesa ya maana
 
Humjui laizer... Watu wa mirerani wanamjua tangu miaka hiyooo ana hela na nyumba kibao sio wakufilisika leo wala kesho....
 
Hawa vijana hawamjui laiza vizuri wanajua alikuwa masikini sasa ndo ametajirika... Jamaa yupo vizuri tangu enzi
 
Kabisa mzigo umetoka kama wiki kadhaa watu wamepata na brokers wadogo nao wamepata shida bei iko chini sana zamani unapata gram 100 unapiga pesa ya maana
Kuna Mzee hapo juu anaitwa mng'eto nasikia na yeye kapata.
 
Habari wakuu,

Ninaona hili suala la Mmasai Leizer kupata madini 2 ya Tanzanite yenye thamani kubwa ya 7.8 billions ni kama propaganda fulani hivi.

Huenda ikawa ni white propaganda ya kuwaita wawekezaji wa nje au wa ndani kwenda kuwekeza kule Mererani.

Au ni propaganda yenye lengo fulani ambalo sisi hatulifahamu.

Anayemfahamu au kumjua vizuri Mr. Laizer atupe short of his life, maana isije ikawa ni mtu wa kitengo.
 
Mke wako anabeba mimba ya tembo ??mpk Leo bado tu mjamzito
 
Watanzania mnamahangaiko....mmevurugwa na pesa za masai wa watu...
 
Wow
 
Jamani tuacheni habari za kusikia, angalieni hali halisi, Bilion 7.4 parefu gafla, hivi umeshawahi kuzishika pesa nyingi ukaona kichwa kinavyouma? kutokana na mipango kwamba ufanye nini?
Msaidieni jamani. kichwa chake sasa kinahangaia mno je afanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leizer mkongwe kwenye hiyo kazi ana miaka zaidi ya 15 yupo Mererani anapiga hizo mishe, alishapiga billion za kutosha na sio mala kwanza kupiga billion kwa watu waliopo merelani hakuna cha ajabu hapo
 
Ndomana ctak kuhama tz xaxa ww utak 2pge ha2a bwn hata kama n uungooo wacha wawekezaj wajee wa bongo bwn
 
Huyu ni mfanyabiashara wa madini mda mrefu. Tatizo ni kamera na matangazo.
 
Dah,
yaani mtu unaanzisha uzi kumpangia tajiri matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…