Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kuna mwana yupo kule anasema kwenye huo mgodi kuna raia wamekula mil 200 wengine mil 70- mil 150 yaani waliokuwepo huko chini hakuna aliyetoka mtupu kila mmoja kapiga pande yake.Appolo wamepiga pesa sana pia kuna mawe madogodogo ndogo nzima ambayo kithamani yanazidi hizo kilo 9,serikali imechukua hayo makubwa tu