Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000.
Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi baada ya Mamlaka kugundua shehena kubwa ya Siafu hai katika mizigo yake uliyokuwa ikielekea China.
Ripoti zilizotolewa na Wachunguzi zimeonyesha Raia huyo kuhusishwa kwenye mtandao wa Biashara haramu ya Binadamu ambao ulikabiliwa na kuharibiwa nchini Kenya mwaka 2025.
Mshukiwa huyo alifikishwa Mahakamani na kutokujibu shtaka hilo atasalia kizuizini kwa Uchunguzi zaidi, huku Mamlaka zikiendelea kuwasaka washirika wake katika ulanguzi huo wa viumbe hai hao wanaolindwa na Mikataba ya Kimataifa ya bioanuwai na biashara yao inadhibitiwa sana.