Mchina aweka wazi kwamba Uganda na Rwanda lazima watii ili wapate mkopo


Kuna kupuuza na kushindwa hoja, wewe ukianza vijembe na kejeli kuhusu Tanzania ujue thread yako haiwezi kuwa salama tena. Ulianza kuchafua hali ya hewa mwenyewe kwa hiyo dawa yako inakuwa ni kuichafua thread yako. Malengo ya kuichafua hii thread yamefikiwa kwa 100%.

Angalia post yako #4 ndio siku nyingine ujifunze kuwa mstaarabu kabla ya kutaka kuheshimiwa.
 

Aha ndio maana nikakwambia hutaweza kuelewa, ukiandika hoja kwa maneno yako watu hawawezi kukupuuza angalia hilo bango walio like wengi ni Watanzania maana huu ni mtandao wa kijamii wa kimataifa watu wanajadili. Ukiishia kukusanya vitu vya kuokoteza na kuzipaste humu watu wanakupuuza na kukupita.
Haya Kwaheri.
 
This growth?
Dude you are really daft if this is the best you could come up with i have seen how you have tried to use it and i rest my case you really need alot of catching up to do.
 
So Laikipia county is the whole of Kenya. They own big tracts of land in predominantly in one county.
And Kenya is a capitalist state, they bought the land, some inherited it. Am not saying we don't have land problems in Kenya infact it is the most divisive to date since independence. But people own land, and wealth. The rich obviously more than other people, but it is the same situation in every country. And it is logical, you are rich you own more, What I don't agree with is that its only the politicians who are rich. The families you mentioned are very rcih, but they don't own 50% of land or Kenya's wealth. The richest Kenyans are not even politicians. They have more money than most, but it is just that.
The rich in Kenya are some politicians, some doctors, some teachers, some lawyers, some engineers, some architects, some pastors.
 
nimesoma mijadala kwa umakini sana, ninachoweza kusema ni kwamba, hata sisi TZ tupo makini, hatujalala. komaeni muwavute uganda na rwanda, ila pia mtambue hata sisi tunafight. (rejea bomba la mafuta). sisi hufukuza mwizi kimyakimya na kwa umakini.
 
Delusional tanzanians.Did you know over half of Kenya is community land?ya thats a fact just at your door step magadi,ngurumani edges of maasai mara upto from isiolo upwards to the border with south sudan ethiopia and somalia where is this assertion that kenya land is foreign owned i dont know who fed you that crap.
 
Uzuri hivyo vyote ni vya Kenya wala hatuongopi. Kenya mti wenye matunda??? 😀😀😀😀😀

Aisee ndugu video inatia huruma saaana kweli kweli
Daah vjana kama hao wenye nguvu wanakula jalalani. Kweli kwenye hii dunia hakuna usawa kabisa.
Lakini nimependa kitu kimoja hao wanafunzi nguo zao ni white na safi saana japo wana shida kemkem na hiyo tuu inaonyesha vp wanapenda shule.
 
Aisee umenikumbusha my star adnan khashoggi
Huyo mtu ni balaa mpaka ametungiwa kitabu na mziki.
 
Mkuu walioweka saini ktk mikataba mibovu sio kwamba hawajui kiingereza bali ni wabinafsi, wezi, wala rushwa. Utasema Chenge hajui kiingereza alifikaje Harvard University? Huyu ndio alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali kipindi mikataba mingi mibovu ya kifisadi ikiingiwa. Tatizo ni selfishness.
 
Huu wimbo wa " walioshikilia uchumi wa kenya" ni wa siku nyingi sana, na umehit sana Tanzania, mi naona Tusiongee tu ilikujifurahisha. Nadhani imefika hatua watajwe kwa majina hao walioshikilia uchumi wa Kenya ni kina nani na kwenye hizo $70 billioni, zao ni sh ngapi!
 
uko sawa hawa akina Kilam ambao wanawajua wazungu na wahindi wote pamoja na ardhi yote wanayomiliki hii kenya nzima waje na concrete data watounyeshe maana naona wanijua kenya sana kulilo sisi tuliozaliwa na kuishi kenya
 

Ngoja nikupe kubwa.
Hivi wachina wanajua kiingereza unachosema lazima mjue ndipo muingie mikataba au kusoma sheria.
Wachina hawajui kiingereza lkn wanafanya biashara pembe zote za dunia. Ila wanatamani watu wote wangeongea kichina. Na ndiyo maana wameanzisha taasisi yao ya confusious ili waeneze kichina dunia mzima.

English has nothing to do with the economic development and growth of any country. (That is your obsession in english language). If it could be so the Asian tigers, Emirates, Scandinavian, Sino and continental Europe could be less developed compared to Anglophones.

Halafu kuhusu kunyonywa na nchi za magharibi.
If you have ever read a book authored by a Caribbean scholar Walter Rodney you could understand what is taking place in the continent. Every Afrikan countryis robbed by whites. Kenya is not exceptional. That's why in Kenya till a moment you have the white settlers owning big pieces of land like Lord Dalamare (I don't know if the name is correct). Sometimes these settlers kill innocent Kenyans and give stupid execuse that they where thinking were pigs.

Sometimes unaonesha ujinga wako wa hali ya juu. Eti kule kwenye jukwaa la siasa unataka kujificha chini ya meza, huo ni ujuha... kwa nini hukujificha chini ya meza wakati yule mzungu alivyo mpiga risasi yule mkulima mnyonge mkenya na akadai ni nguruwe halafu akaachiwa na mahakama. Shame on you dude.
 
It is never too late, to do the right thing.
 
No body's throwing stones at ye, Hawa wa jamii forums ni wapinzani tu wa mitandaoni, lakini, You's the one throwing stones to Tz in this elections going on in your country, your government's accusing your opposition party of collaborating with Tz. That's some huge mistake y'all engaged you selves
 
Shut up! you have no facts to support this dubious claims.....
 
Mkuu unavyojipambanua hapa utadhani Kenya ni Paradiso,
Wakati hapa tu tunaongea hata Reli hiyo Mchina kawapiga na hadi sasa anaendelea kuwapiga


Kweli nyani haoni Kundule.
 
Hatua gani imepigwa wakati Wakenya wa Kawaida kama wewe hampati walau Chakula,

Yaani karne ya 21 you don't have the three basic needs (Food, Shelter na Clothes)
Hata hiyo GDP inachangiwa kwa sehemu kubwa na makampuni binafsi ya Kigeni, ndio maana karibu 60% ya GDP inakuwa generated Nairobi ambako kuna less than 10% Kenyans.
Pathetic.
 
Mkuu unavyojipambanua hapa utadhani Kenya ni Paradiso,
Wakati hapa tu tunaongea hata Reli hiyo Mchina kawapiga na hadi sasa anaendelea kuwapiga


Kweli nyani haoni Kundule.

Hehehe!! Huu wimbo wa sisi kupigwa mlikaririshwa mkaiva, hamtaki kujadili kiutaalam ili muonyeshe wapi tumepigwa, mshaufanya kama njia ya kujiliwaza, 'feel good mentality'. Ni kama kujipiga punyeto huku unawaza demu fulani star wa kweli mrembo, kwamba unahisi utamu ilhali sio tendo lenyewe la ndoa, unafanya ili kujiliwaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…