Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,815
Thinking nzuri kabisa hii...Huyo mchina amehukumiwa kulipa million 50 Kama fidia na nyongeza yalifungo Cha miezi 5 au faini ya laki tatu. Lakini huyu mtanzania kapigwa mvua bila kupewa nafasi ya faini Wala fidia.
Hapo Kuna mazingira ya rushwa au hofu ya mahusiano na nchi ya China iwapo tutamfunga mtu wao. Lakini wao mbona wanawafunga watu wetu wakishikwa na mabangi kwao? Tuyaache hayo, lakini huenda mchina anawatu nyuma yake wakubwa maana haiwezekani mtu atoke huko aje aue tembo 511 bila mwenyeji mwenye nguvu.
Mchina ni rafiki yetu kimaendeleo huyo mwingine ni lihujumu uchumi tu, TANZANIA yetu hii 🤔🤔Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Mbe!Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Wameilamba kwa mchina eenhh.