Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanataka kuwapa Bandari ya Bagamoyo wangechota wanyama wetu wote na ndege na Samaki.Kuua tembo 511 kama ni kweli, ni uhalifu wa kutisha. Ni kama mauaji ya kimbari (genocide). Wachina ni hatari!
Umesahau maneno ya Mama Samia kwa Mr Peter alivyompeleka kwenye lile Godown la hayo mapembe? Serikali haipendi kuyakamata maana haitaweza kuyauza.Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Na unaambiwa wakishapewa utakiwi kutia mguu pale wala jicho aisee sio poa hii nchi ni ngumu sanaCCM wanataka kuwapa Bandari ya Bagamoyo wangechota wanyama wetu wote na ndege na Samaki.
Huyu DDP kawekwa pale ili kuwaachia huru watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi na majangiri tu, lakini chakushangaza wanyoge hawajawi kuwafutia kesi ata mara moja, kuna Mwalimu kafungwa jela kwa kosa la rushwa ya elf 50, Huyu Mama Samia anajifanya ana huruma kwa matajiri tu, yeye kama ana roho ya huruma basi amwambie DDP awafutie kesi na masiki na siyo kuwafutia kesi Matajiri tu, hii Zambi ya kuonea masikini itamtafuna tu ipo siku, anajifanya ana huruma kumbe uongo, kama kweli ameamua kumsamehe watuhumiwa basi na watanzania wa kipato chanini amwambie huyo DDP fisadi waachie Watanzania wakawaida kama anavyo waachia wafanyabishara kubwa wenye makosa makubwa.Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Shida ni rushwaNi mpumbavu tu, atakaye weza kuelewa huu uwozo. Sheria ni msumeno inatakiwa ikate pande zote.
Shida ni sisi kwa sisi hatupendani. Tunathamini wageni kuliko wazawa hakika hii ni Sheria kandamizi inapaswa kuangaliwa upya.
Sheria Duniani bali Haki Mbinguni
Hakuna haki kama huna pesa mkuuHuyu DDP kawekwa pale ili kuwaachia huru watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi na majangiri tu, lakini chakushangaza wanyoge hawajawi kuwafutia kesi ata mara moja, kuna Mwalimu kafungwa jela kwa kosa la rushwa ya elf 50, Huyu Mama Samia anajifanya ana huruma kwa matajiri tu, yeye kama ana roho ya huruma basi amwambie DDP awafutie kesi na masiki na siyo kuwafutia kesi Matajiri tu, hii Zambi ya kuonea masikini itamtafuna tu ipo siku, anajifanya ana huruma kumbe uongo, kama kweli ameamua kumsamehe watuhumiwa basi na watanzania wa kipato chanini amwambie huyo DDP fisadi waachie Watanzania wakawaida kama anavyo waachia wafanyabishara kubwa wenye makosa makubwa.
Mama mjane afungwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swalaNimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni sitini na tisa kalambwa miaka 60
Wadau wa sheria tusaidieni hapa!
View attachment 2449142
Kuna mahakimu wengine ni wagonjwa wa akili ila hawajitambuiMama mjane afungwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swala
Hakimu aliyemhukumu huyu mama miaka 22 asomewe dua mbaya apate kiharusiKuna mahakimu wengine ni wagonjwa wa akili ila hawajitambui
Na kala miezi mitano tu jelaMchina alizama masituni na kuua tembo 511!?
Plea Bargain mzee,Eti kaandika barua kwa Dpp kukiri makosa yake.. So what!!! [emoji34][emoji35]
Mchina kwenyw Uhujumu Uchumia kaomba PLEA BARGAIN mzee.Sheria zinasemaje ?
Mara nyingine kuna technicalities nyingi ambazo zinatengeneza loopholes za wenye rupia kuweza kupenyeza kwenye udhia...
Huenda kukutwa na nyara ni kosa kubwa kuliko kuua nyara...