Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Hakika mapenzi upofu sijui tusemaje kwa ndugu Yetu huyu baada ya kukataliwa kwa kuzipanga iphone zaidi ya 90 😀😀!!!
Wakati ambao iphone 99 haziwezi kununua upendo! Ndipo kilichomkuta Jamaa mmoja toka china baada ya kununua iphone 15 pro max na 16 pro max na kuzipanga kwenye umbo la Kopa ❤️ .
Alikua anamshawishi Mwanamke mmoja mwenye Asili ya kichina kumkubali kuwa Mpenzi wake 🙂, kwa kuzinunua iphone 99 na kuzipanga umbo la moyo na kupiga goti umati ulikusanyika na Kamera kuchukuliwa ila Jibu la Mwanamke ni kusema No.
Mwanamke huyo alimkataa jamaa na iphone zake 99 mbele ya umati wa watu 😌 Wazungu Wana misemo wao unasema "Sometimes, even 1 honest heart is worth more than 99 " wakati mwingine Moyo mmoja unaweza kuwa na uaminifu kuzidi Thamani zaidi ya 99.
Hii ingetokea kwa bae wako unafiriki angekataa 😂!!!