Mchina mmoja amemtongoza Mdada kwa iphone 99 lakini Bado alikataliwa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Hakika mapenzi upofu sijui tusemaje kwa ndugu Yetu huyu baada ya kukataliwa kwa kuzipanga iphone zaidi ya 90 πŸ˜€πŸ˜€!!!

Wakati ambao iphone 99 haziwezi kununua upendo! Ndipo kilichomkuta Jamaa mmoja toka china baada ya kununua iphone 15 pro max na 16 pro max na kuzipanga kwenye umbo la Kopa ❀️ .

Alikua anamshawishi Mwanamke mmoja mwenye Asili ya kichina kumkubali kuwa Mpenzi wake πŸ™‚, kwa kuzinunua iphone 99 na kuzipanga umbo la moyo na kupiga goti umati ulikusanyika na Kamera kuchukuliwa ila Jibu la Mwanamke ni kusema No.

Mwanamke huyo alimkataa jamaa na iphone zake 99 mbele ya umati wa watu 😌 Wazungu Wana misemo wao unasema "Sometimes, even 1 honest heart is worth more than 99 " wakati mwingine Moyo mmoja unaweza kuwa na uaminifu kuzidi Thamani zaidi ya 99.

Hii ingetokea kwa bae wako unafiriki angekataa πŸ˜‚!!!
 
Wakati Bongo iPhone 16 moja tu unapewa mpaka ******
 
IPhone 99 mjue ni zaidi ya Mil 300.
Nikajua mdada wa bongo..
Kama ni mchina mwenzake sawa tu haina maajabu...
Njo kwetu huku.....
Jamaa mmoja toka china baada ya kununua iphone 15 pro max na 16 pro max na kuzipanga kwenye umbo la Kopa ❀️
  • Tukio ni la kweli.
  • Lilitokea mwaka 2014
  • Aina ya simu ilikuwa iphone 6s
  • Na sio kama irivyo ripotiwa hapo juu
  • Jamaa alitumia fedha ya mshara wake wa miaka miwili ili kufikia lengo la iphone 99.
---
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…