Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mchina mwingine amekamatwa muda si mrefu akielekea singapore na Air Qatar....akiongea kwa huzuni mtoa taarifa alisema emekamatwa baada ya kuingia ndani na baada ya kuingia machine ikaonyesha kwenye screen ....,alikuwa ana vitu visivyo vya kawaida...sasa kilichotokea polisi kuficha labda isijulikane wakamchukua wakampeleka ofisi zao za ndani kwa uchunguzi zaidi...baada ya muda wakatoka na polisi wengine wakitokea uwanja wa ndege wa zamani wakaja na kumchukua na pickup akiwa na mzigo wake...baada ya kuondoka walipoulizwa mapolisi ndipo waliposemma haya mambo bwana tunawaachia wenyewe...,,kweli ana mzigo lakini ukimuuliza na yeye anadai begi si lake la nani kapewa just inshort....ajibu..tukaamua tumpeleke kituoni
wakaulizwa kama amefanya kosa kwanini hamkutoa mlango wa mbele mmetolea mlango wa nyuma je kama akiachiwa inyemela hamuoni watu watawadharau...akisema tuachien mapolisi tunajua tunachofanya..mmhh haya mambo inaonekana yanatendeka mara kwa mara safari hii wameamua kuchomana...rasmi
haya tumwachie MAMA KILANGO