MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
How comes you have Chinese workers in your own SGR?? Hata kama ni mkopo si mtaulipa that means hiyo reli ni yenu?
Kwani hamna phase out plan ya kuwaondoa hao wachina??
Maana wao kujifunza lugha simply inamaanisha They are there to stay..
Mfumo wa SGR ni mpya kwetu, hivyo lazima wao wahusike pakubwa kwenye uendeshaji wake huku tukirithi kimikakati hatua kwa hatua.
Wao kulazimishwa kuongea lugha zetu ni mojawapo wa kuhakikisha tunarithi mfumo, maana leo analetwa muhandisi Mchina asiyejua Kiswahili wala Kingereza, wanaongea wao kwa wao, wewe unasubiri utafsiriwe alichokisema, lini utakuja kujifunza anachokifanya.
Kama umewahi kufanya kazi yoyote ya kitaalam kwenye nchi ya watu, huwa lazima uonyeshe mikakati ya kupokeza ujuzi wako kwa wazawa na itakuchukua muda gani.