Mchina yeyote asiyezungumza Kiswahili na Kingereza kufurushwa Kenya

How comes you have Chinese workers in your own SGR?? Hata kama ni mkopo si mtaulipa that means hiyo reli ni yenu?

Kwani hamna phase out plan ya kuwaondoa hao wachina??

Maana wao kujifunza lugha simply inamaanisha They are there to stay..

Mfumo wa SGR ni mpya kwetu, hivyo lazima wao wahusike pakubwa kwenye uendeshaji wake huku tukirithi kimikakati hatua kwa hatua.
Wao kulazimishwa kuongea lugha zetu ni mojawapo wa kuhakikisha tunarithi mfumo, maana leo analetwa muhandisi Mchina asiyejua Kiswahili wala Kingereza, wanaongea wao kwa wao, wewe unasubiri utafsiriwe alichokisema, lini utakuja kujifunza anachokifanya.
Kama umewahi kufanya kazi yoyote ya kitaalam kwenye nchi ya watu, huwa lazima uonyeshe mikakati ya kupokeza ujuzi wako kwa wazawa na itakuchukua muda gani.
 
Ulipaswa kuchangia Mada husika nasio kumjadili mtu
Au kujibu tu kile nilicho Changia
Habari za Kumpe
kua mtu Hazina Mashiko

Jameni mrembo nimetubu, sitakutibua tena haki naapa, niambie nini cha kufanya yaishe, huwa sipendi ugomvi na warembo wa Kibongo, ni marafiki zangu sana....uuuuuiiiii Sky Eclat njoo huku uniteteee nimelianzisha na sijui nitapoza vipi.
 
True, waanzie kwa hao hao wakubwa hata Kenyatta anachapia kiswahili.
 
Afu ktk watu ambao nawakubari jf
yeye nimoja wao
Kaniboa kiukweli
wacha nimpishe kwenye Thread yake
Sidhani kama alikuwa na nia mbaya. Ilikuwa utani tu, sidhani kama unastahili kulichulia jambo hili kwa uzito huo. Utapata presha bure.
 
Jameni mrembo nimetubu, sitakutibua tena haki naapa, niambie nini cha kufanya yaishe, huwa sipendi ugomvi na warembo wa Kibongo, ni marafiki zangu sana....uuuuuiiiii Sky Eclat njoo huku uniteteee nimelianzisha na sijui nitapoza vipi.
Bila kufuta hii account yako ya JF, hatukusamee. [emoji23]
 
Ni bora mkafungua shule za kujifundisha kichina hapo ingeleta maana

Nchi nyingi siku hizi wanafundisha wanafunzi lugha tofauti ila kukabiliana na changamoto za kibiashara
Hili la kuongea kiswahili labda mgewaambia mchina anaetaka demu wenu sharti la kwanza aongee kiswahili
 
Wazee wa kukurupuka na mtafute other source of financing for the SGR phase 2B!
2B wachana nayo kwanza. Hio tutaishughulikia baadaye. Kwa sasa wacha 2A ikamilike June mwaka ujao. Usituharakishe sie sio size yenu
 
Wewe ukinikosa humu JF hata siku moja siutakuja kunitafuta Nairobi....hehehehe
Haha, Unakuju na mada zako za kumtoa nyoka pangoni mpaka tunakosa usingizi, futa na sisi tulale. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila nchi ina policy yake. Kwa kulinda maslahi yake. Hii siyo ya maswala kuwa wakenya wako china ni wengi.. well hauna statistic halis kuhusu wakenya walio kwenye nchinzingine ni wangapi.
So kama nchi wana right yao, ni si kwamba wamuogope mchina.
Msianzishe ugomvi ambao hamuwezi kushinda kufurahisha Muzungu wenu, kuna Wakenya wengi China pia labda hawajui Kichina, wanaweza kufurumushwa pia, isitoshe uchina analipa kila kitu Kenya!
 

Sasa hapa ndio umeandika nini, kuna wakati huwa siwaelewi Watanzania kabisa....
 
Napenda[emoji57][emoji57][emoji57][emoji847][emoji847]
Jameni mrembo nimetubu, sitakutibua tena haki naapa, niambie nini cha kufanya yaishe, huwa sipendi ugomvi na warembo wa Kibongo, ni marafiki zangu sana....uuuuuiiiii Sky Eclat njoo huku uniteteee nimelianzisha na sijui nitapoza vipi.
 
Good Kenya sio shamba labibi kama ldc dangayika.....
 
Huwa wanakua na mkalimani acheni excuses! Hii ni zaidi ya sisi kutaka Wanigeria kuomba visa in advance u r funking prospects for 2B phase n others. U r literally hanging urselves. Ama New York route italipa SGR to Malaba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…