Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

Daah hapo nimekupata mkuu, kwa hiyo hizo nyimbo za gari kubwa ww hauna?
 
Nitajitahidi nizipate mkulu
fanya hivyo mzee ukizipata kama zikiwa kubwa ziupload kwenye soundcloud halafu unaweka link kwenye hii thread, nitashukuru sana nikizipata.
 
fanya hivyo mzee ukizipata kama zikiwa kubwa ziupload kwenye soundcloud halafu unaweka link kwenye hii thread, nitashukuru sana nikizipata.
Yah na zile zilikuwa kubwa kweli maana nyimbo ya pili ikiingia walikuwa wanaunganisha wale jamaa. Yaani unaona kinanda kinabadilika.
Mfano ile nyimbo "nawaeleza visonoko wasiopenda hisani,
Na mimi nawaeleza hisani yasonga mbele"
Hii nyimbo inaunganika na Ally mwinyi ni hodari
 
Mkuu popote ulipo bado ujazipata tu hizo nyimbo.
 
Mwenye kuhitaji nyimbo za hisani aweke namba yake nimrushie whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…