jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Simu haina option ya ku-upload audio unatakiwa utumie PCWadau ninazo nyimbo nyingi za Mchiriku ila nimeshindwa kuzi-attach humu. Kama kuna mdau ataweza kunielekeza itakuwa vizuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia browser ya google chrome halafu bonyeza attach files na uchague file unalotaka ku-attach.
Thanks, nitafanya hivyo.Tumia browser ya google chrome halafu bonyeza attach files na uchague file unalotaka ku-attach.
mkuu naomba hizi nazikubali sana.Mimi nnazo nyingi tu
Mwenye kuhitaji nyimbo za hisani aweke namba yake nimrushie whatsapp
Mimi ninayo ila nashindwa kuapload humu, nitumie namba ya WhatsApp nitakutumia. Halafu kuna WhatsApp group la Mchiriku lipo ukitaka utaunganishwa, huko utapata kila unachotaka kuhusu Mchiriku.HABAR.....KUNA MWENYE NAYO MFUNGWA ACHAGUI GEREZA YA ATOMIC BAND OMARY OMARY
Kiongozi naomba untumie wasap 0625-789-736.Naomba xna mkuuNgoma zipo ila hazipandi hapa kwani nyingi ni zaidi ya MB5
0714600767Mimi ninayo ila nashindwa kuapload humu, nitumie namba ya WhatsApp nitakutumia. Halafu kuna WhatsApp group la Mchiriku lipo ukitaka utaunganishwa, huko utapata kila unachotaka kuhusu Mchiriku.
bonge la ngoma ilooo ndugu yangu nitumie..............aiseeeeTulikua nimekaa, maskani Lebanon ferry,
Tumestarehe Sina lile wala hili,
Kumbe kuna msela mmoja mtaani kafanya zari,
Mara mda mdooogo,
Wakaja Polisiii,
Wakaja na gari laooooo,
Kufika wakatukamataaa,
Mahakamani tukafikaaaaa,
Tukasomewa Shitakaaaaaaa.
pia niungwe tuMimi ninayo ila nashindwa kuapload humu, nitumie namba ya WhatsApp nitakutumia. Halafu kuna WhatsApp group la Mchiriku lipo ukitaka utaunganishwa, huko utapata kila unachotaka kuhusu Mchiriku.
Duh kumbe maisha ndo yalikuwa hivyoOmary Omary kilichokuwa kinamsaidia ni Dingi wake alikuwa na uwezo somehow miaka ile so alikuwa anampa support sana ya vifaa na fedha. Imagine mwaka 1990 karibu kata mbili mpaka tatu Temeke kulikuwa hakuna mwenye TV ni kwake tuu world cup ya 90 na 94 tulikuwa tunaangalia kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app