Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

Yaani mm na ukristu wangu ninywe beer! kwanza nipo nakunywa uniambie napata laana kisa ww upo kwenye mfungo!!!?
wacha kufananisha papai na boga...
Endelea kulewa mchana wa Ramadhan uone moto
 
kwanza aliyekwambia kakamatwa na polisi nani? na aliyekwambia anashikkiliwa na polisi nani ? Aliyekwambia kasafirishwa kwenda dar es salaam nani?

chadema mumeanza michezo yenu michafu ya kujiteka na kuchafua serikali
Wameanza kukanusha filamu ya mdude madawa chadema
db91976a2438db38d48b4da9eaa59838.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tulitafute gari au tumtafute Mchome, sema kamanda tuanzie wapi
 
Kwa hiyo kuna gari imeandikwa "usipige picha"
Ni sheria gani iliyotumika kama si ubabe ubabe tu
Kupiga picha kitu cha mtu ni lazima mwenye nacho atoe ridhaa. Huwezi kuja kwangu upige picha kitu chochote bila mimi kukurusu. Hata kama ni chombo cha serikali mimi niliyekabidiwa lazima nitoe idhini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupiga picha kitu cha mtu ni lazima mwenye nacho atoe ridhaa. Huwezi kuja kwangu upige picha kitu chochote bila mimi kukurusu. Hata kama ni chombo cha serikali mimi niliyekabidiwa lazima nitoe idhini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nasimama pale Samora avenue napigaga picha magari hata hamsini
Mnachofanya ni siasa za kibabe kibabe
 
Back
Top Bottom