Lema alibaki CHADEMA kimkakati, akaungane na wenzake CHAUMA kwani amejidhihirisha kuwa nanye ni chawa wa Samia kama alivyo 'kaka' yake shehe Mbowe.Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani.
Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe.
@)@$ heche hakuna makamu Mwenyekiti, sasa unaposema Tonetone how comes!
"How comes". Naomba unitafsirie una maanisha nini.Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani.
Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe.
@)@$ heche hakuna makamu Mwenyekiti, sasa unaposema Tonetone how comes!
Aisee jama limejiabisha vibaya mno.....Lema alibaki CHADEMA kimkakati, akaungane na wenzake CHAUMA kwani amejidhihirisha kuwa nanye ni chawa wa Samia kama alivyo 'kaka' yake shehe Mbowe.