GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inawezekana vipi katika Mauzo ya Jezi zetu Yanga SC inapata Shilingi 1,300/= tu kwa Jezi moja huku Jezi zikiwa zinauzwa kuanzia Shilingi 35,000/= hadi 40,000/= hapa Dar es Salaam ila huko Mikoani kote zinauzwa kuanzia 80,000/= hadi 100,000/=?
Tatizo tu ni kwamba Mafanikio ya Uwanjani yamewalevya vibaya hadi mmekubali Kuibiwa ili baadae muwe Masikini.
Tatizo tu ni kwamba Mafanikio ya Uwanjani yamewalevya vibaya hadi mmekubali Kuibiwa ili baadae muwe Masikini.