Mchongo gani utanifaa, nina 1,000,000 cash nina page yenye followers 60k

Anza kuuza jezi tu , ila usijidanganye ukanunua accnt ambayo hukuanzisha wewe unaweza kununua accnt yenye followers wengi waliofata udaku na umbea we ukawaletea mambo ya biashara na mpira itakua unatwanga maji
 
Hakika mkuu unacho sema nisawa kabisa.

Bahati nzuri nimewaanzisha mimi
 
Nakuja mkuu
 
Follower 60K ni sawa ila inategemea follower wako uliwapataje kama robot au walikifata kwa ajili ya contents na kadhalika we ndio unajua.

Wats matter ni kwamba lazima ufanye kitu kulingana na aina ya mashabiki wako... Kama walifata michezo basi huwez toka kwenye michezo lazima ubaki hapo....
 
Kama wadau walovyousema,
Uza vitu vya sports mkuu

Iwe njumu, jezi au vile vifaa simple vya mazoezi sababu inakuwa rahisi kuuza maana michezo yaweza kuwa fun lakini ni sehemu ya kutengeneza mwili, angalia hapo 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…