Je, Unafuatilia habari za michezo ndani na Nje ya Tanzania ? Unapenda kuandika habari hizo kwenye Tovuti? Basi
kurunzitz.com ni tovuti inayoandika Habari za michezo za nje na ndani ya Tanzania..!!Wanatafuta watu watakaoungana nao kwa ajili ya kuilisha tovuti hiyo.
Kwa mawasiliano tembelea
Kurunzitz.com kisha nenda kwenye sehemu ya
Contact Us ili kuweza kuwasiliana nao.
Au Nenda kwenye Facebook Page yao
Kurunzitz Michezo....kisha bonya
Contact US ili kuweza kuwasiliana nao...Wapo Dar es Salaam -Tanzania, Mikocheni B.