Mchongo kwa wanaopenda kuandika Habari za Michezo kwenye Tovuti

kindamba2000

Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
15
Reaction score
6
Je, Unafuatilia habari za michezo ndani na Nje ya Tanzania ? Unapenda kuandika habari hizo kwenye Tovuti? Basi kurunzitz.com ni tovuti inayoandika Habari za michezo za nje na ndani ya Tanzania..!!Wanatafuta watu watakaoungana nao kwa ajili ya kuilisha tovuti hiyo.

Kwa mawasiliano tembelea Kurunzitz.com kisha nenda kwenye sehemu ya Contact Us ili kuweza kuwasiliana nao.
Au Nenda kwenye Facebook Page yao Kurunzitz Michezo....kisha bonya Contact US ili kuweza kuwasiliana nao...Wapo Dar es Salaam -Tanzania, Mikocheni B.
 
QX4q
 
Back
Top Bottom