Great thinkers mambo vipi.
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye kiini.
Mheshimiwa Rais amesema Kuna fedha shiling Tilioni Moja na bilioni mia tatu zinakwenda kuchemsha Nchi. Sasa jameni hebu tupeana uzoefu na michongo ya namna ya kunufaika nazo kihalali kabisa. Yaani kama ni ajira tenda au uzambazaji vifaa.
Nimeona kwenye magezeti kwamba Kuna magari zaidi ya Mia tatu yataingia kwenye shughuli unganishi ya hizi fedha. Means Kuna Madereva watahitajika. Kuna ujenzi mafundi lakini pia vifaa vya ujenzi.
Lakini yote kwa yote Pesa hizo zinatakiwa kutumika kwa miezi tisa tu hapa ndiko Utamu unakolea 😂😂 kwa maana hiyo wakati Mimi naandika hapa labda tayari mgawanyo umeshaanza.
Guys tupeana michongo au tekniki za kula keki hii ya Nchi kwa udhamini wa IMF.
ASANTE SANA